Makahama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar Es Salaam, imemfunga kifungo cha nje cha mwaka mmoja katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania Shekhe Ponda Issa Ponda,huku washtakiwa wengine wote 49 wakiachiwa huru