Burudani



Yule mkali wa wakali kutoka pande za katavi si mwingine ni Francris ameachia ngoma yake nyingine baada ya kutoka na hit song Revolution
Sasa anakuja na I'm hustler akishirikiana na Sniper mc & Mad Q unaweza kudownload na kuisikiliza hapa http://www.hulkshare.com/6ybz4hll7qio