Timu ya mpira wa miguu Katavi Warriors hali maarufu kama Aston Villa ikifahamika hivyo katika viunga vya mji wa mpanda.
Ambayo imefanikiwa kupanda daraja baada ya kuibuka bingwa wa mkoa wa katavi na kufanikiwa kuingia ligi ya TFF ngazi ya kanda Inatarajia kutupa karata yake leo 12 May dhidi ya timu kutoka mkoan Rukwa, Rukwa United katika Uwanja wa Azimio mjini mpanda muda ni kuanzia saa kumi jioni kwa saa za afrika mashariki.
Katavi inawakilishwa na timu mbili katika mashindano haya, timu hizo ni Katavi Warriors(Aston Villa) na Small kids(kotaz). Small kinds inashiriki mashindano haya baada ya kushuka daraja kutoka ligi daraja la kwanza ngazi ya taifa. Kila la heri timu kutoka katavi