BREAKING NEWS

Wananchi wenyehasira wamefungabarabara eneo la Mbagala Kizuiani jijini Dar es Salaam na kusababishamsongamano mkubwa wa magari baada ya mwanafunzi kugongwa nagari na kufa.


Chanzo:RADIO 1