Uhuru Kenyatta wins Kenya presidential election by a hair!
With all 291 constituencies reporting, Uhuru had 6,173,433 valid votes (50.03%) against Raila’s 5,340,546 (43.28%) - Total Vote cast - 12,338,667
|
Uhuru wakati akiweka kura yake |
|
Uhuru Kenyatta akiwa na baba yake Jomo Kenyatta
siku hizo za zamani Uhuru akiwa mdogo |
|
Rais wa nne wa kenya Mh. Uhuru Kenyatta |
Uhuru Kenyatta amechaguliwa kuwa Raisi wa nne wa Jamuhuri ya Kenya, waliomtangulia ni Baba yake mzee Jomo Kenyatta akifuatiwa na Daniel Arap Moi kisha Rais aliyemaliza muda wake bwana Mwai Kibaki. Hongera kwa Bwana Uhuru kwa Kushinda Uchanguzi
Tunawatakia wakenya Amani na utulivu tele.