Mabingwa wa Ulaya na dunia Spain
wameendelea kubaki nafasi ya kwanza kwenye viwango vya FIFA mwezi huu,
wakati timu ya taifa ya Tanzania ikipanda kwa pointi nane zaidi, huku
Afghanistan wakipanda mpaka kwenye nafasi ya 48 kutoka 141, baada ya
kushinda mechi kadhaa kwenye AFC Challenge Cup.
Spain wanawaongoza Germany, Argentina, England na Italy. Colombia wapo nafasi ya sita huku Ureno wakishuka mpaka nafasi ya saba.
Spain wanawaongoza Germany, Argentina, England na Italy. Colombia wapo nafasi ya sita huku Ureno wakishuka mpaka nafasi ya saba.
Tanznia mchezo ujao inacheza na Morocco katika uwanja wa taifa jijini Dar es salaam tarehe 24 March 2013, ni mchuano wa kufuzu fainal za kombe la dunia hapo mwaka 2014 nchini Brazil