Hii ndiyo post ya Shilole |
Comment ya moja wa mashabiki wake |
Jibu alilotoa Shilole |
na kali ya Msanii Shilole kutukana mashabiki wake katika Facebook.
Swali lilibaki kwangu kuwa ile account ya Shilole Facebook ni yake au?
Lakini baada ya mashabiki kumjibu alijaribu juomba ladhi.
Kweli ni Kioo cha jamii????????????