Kijana akichangia maoni yake kwa njia ya maandishi. |
Wananchi wakifuatilia mchakato mzima wa utoaji maoni. |
uundwaji wa katiba mpya ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania.
Mchakato huu umefanyika katika viwanja vya Kashaulili.
Kwa taarifa zaidi tembelea www.katiba.go.tz